Photocopy machine & Printer tafadhali

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari zenu wapendwa, je ninaweza kupata mashine moja ambayo inaweza ikatoa photocopy, ikaprint na kuscan na inaweza ikatoa black & white pamoja na coloured? na kama inapatikana, aina gani ni nzuri na inakuwa imetengenezwa wapi na ninaweza kuipata kwa bei gani?

Ntashukuru sana kwa mawazo yako.
 

Nunua CANON IR 2420 PHOTOCOPIER 20 COPIES PER MINUTE A3-A4 na printer nyingine ndogo tu ya rangi. Hii itakupunguzia gharama kwa sababu printer ya kutoa photocopy, ikaprint na kuscan na inaweza ikatoa black & white pamoja na coloured kwa pamoja ni ama ghali au running cost zake ni kubwa sana. Mfano hamna sababu ya kupitisha kazi ya black and white kwenye color printer.
 
Nashukuru kwa ushauri wako maana kuna kitu umenifundisha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…