Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Habari zenu wapendwa, je ninaweza kupata mashine moja ambayo inaweza ikatoa photocopy, ikaprint na kuscan na inaweza ikatoa black & white pamoja na coloured? na kama inapatikana, aina gani ni nzuri na inakuwa imetengenezwa wapi na ninaweza kuipata kwa bei gani?
Ntashukuru sana kwa mawazo yako.
Ntashukuru sana kwa mawazo yako.