Photographers are Heroes..

Huyo mwenye nguo za kaki, naona suruali imelowana hapo katikati...🀣
 
hao mbona cha mtoto, National GEO wild channel, watu wanagongwa na nyoka live, camera mani yeye anazoom tu, Wana kamsemo kao kwamba kazi yetu sio kuiingilia nature bali kuisoma
 
hao mbona cha mtoto, National GEO wild channel, watu wanagongwa na nyoka live, camera mani yeye anazoom tu, Wana kamsemo kao kwamba kazi yetu sio kuiingilia nature bali kuisoma
Mbuzi analiwa na chatu au Simba wao wametega camera tu hakuna kuongilia
 
Haya ndio maisha yetu halisi sasa huku mitaani ukigongwa na gari watu wanatoa simu na kurekodi ili aitume TikTok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…