Photographers are Heroes..

Photographers are Heroes..

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Cheki msala kama huu ila bado mpiga picha akapata ujasiri wa kutupa Picha kabla ya kifo cha hawa watu😂😂😂
FB_IMG_1693753612580.jpg
 
hao mbona cha mtoto, National GEO wild channel, watu wanagongwa na nyoka live, camera mani yeye anazoom tu, Wana kamsemo kao kwamba kazi yetu sio kuiingilia nature bali kuisoma
 
hao mbona cha mtoto, National GEO wild channel, watu wanagongwa na nyoka live, camera mani yeye anazoom tu, Wana kamsemo kao kwamba kazi yetu sio kuiingilia nature bali kuisoma
Mbuzi analiwa na chatu au Simba wao wametega camera tu hakuna kuongilia
 
Haya ndio maisha yetu halisi sasa huku mitaani ukigongwa na gari watu wanatoa simu na kurekodi ili aitume TikTok.
 
Back
Top Bottom