Nyie si ndiyo mnaojifanya ma-photographers mliobobea, lakini ni wazi mmeishia kuiga aesthetics za Wazungu ambazo hamziwezi, mnaishia kufoji tu. Tangu lini Mwafrika akathamini picha za mawingu na machweo ya jua kila kukicha? Hamna hata chembe ya originality??