Photographers' Corner

Photographers' Corner

jiji letu by mustafa hasanali

269625_10150704029790507_768985506_19211943_7202718_n.jpg
 
Nyie si ndiyo mnaojifanya ma-photographers mliobobea, lakini ni wazi mmeishia kuiga aesthetics za Wazungu ambazo hamziwezi, mnaishia kufoji tu. Tangu lini Mwafrika akathamini picha za mawingu na machweo ya jua kila kukicha? Hamna hata chembe ya originality??



With such a name... you would certainly qualify as knowing better....
Hii inaitwa photographers corner na imewekwa wazi any body can post
kitu chochote - sema tu ilitokea wengi wametuma hizo... Pia angalia a pic
with the so called originality you claim imetumwa huko nyuma na
Gezus... Pitia picha zooote... no not just skim thru...
 
WADAU WOTE WA HUMU NAPENDA KUWAKARIBISHA KATIKA LIBENEKE LA TANZANIA KATIKA INTERNATIONAL FORUM TA SKYSCRAPERCITY, TUMEPATA SECTION YETU WABONGO NA TUNAWEZA KUTUMIA LUGHA TUNAYOTAKA, MAMBO MAZURI KAMA HAYA INGEKUA NI VIZURI TUKASHARE KULE PIA, POST CHOCHOTE KINACHOIHUSU NCHI YETU KUANZIA BURUDANI YA MUZIKI HASA WA KIZAZI KIPYA, PICHA MBALIMBALI ZA TANZANIA NA MAJADILIANO YOYTE YA MAENDELEO, KARIBUNI WOTEEEEEEEE
LBENEKE HILI HAPA
http://www.skyscrapercity.com/forumdisplay.php?f=3178
 
Siku za karibuni nimekuwa napenda sana kupiga Macro shots, hizi picha ni kutoka kwenye set ya ninayoiita Simplicity.

tumblr_loo9tzDlPy1qkc778o1_1280.jpg

"I think music in itself is healing. It's an explosive expression of humanity. It's something we are all touched by. No matter what culture we're from, everyone loves music." - Billy Joel
 
tumblr_loo9pznCqa1qkc778o1_1280.jpg

"Creativity is so delicate a flower that praise tends to make it bloom, while discouragement often nips it in the bud." - Alexander Osborn
 
Weekend njema waungwana.
tumblr_lostqw4Geb1qkc778o1_500.jpg
"Lighthouse: A tall building on the seashore in which the government maintains a lamp and the friend of a politician." - Unknown
 
Wakuu mbona kumekua Kimya ghafla? Nimeshindwa Kuingia humu Mara kadhaa kupitia komputer, ila iPad inakamua, je kuna yeyote aliyepata tatizo Kama langu.?
 
Back
Top Bottom