NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,572
- 48,607
Nikweli mandhari ya hiyo miji ni nzuri lakini kamwe uwezi fananisha au ukafanya kama changamoto katika serikali yetu, kwani viongo wetu wanasafiri na wanaona lakini hawabadiliki.
sisi watanzania tuwaweza kuringia kitu kimoja tu, kila kitu chetu ni natural, hakijachakachuliwa, angalia huo mji, utafikiri ni ukungu, hapao si zaidi ya kilomita tatu lakini huoni mble, hapa usiku huoni nyota hata moja,


