Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SOOOOOOOOOO NICE, hongera kwa kupiga picha nzuri, nimeipenda.Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
![]()
Picha nzuri sana!...ila nadhani inaficha a major component of a city,that is it's people.Hii ilipigwa na rafiki yangu, lakini niliifanyia post processing.
![]()
Black and white
![]()
"eqlypz" imeharibu picha? Kama ni signature ya mpiga picha kuna namna ya kui present, na pia inakuwa chini, sio juu.