Photography | Videography Position

Photography | Videography Position

Joined
Apr 18, 2017
Posts
86
Reaction score
57
Habari za leo wana Jamii Forum!

Ninatafuta sehemu ya kufanya kazi full-time kama mpiga picha (Photographer) au mtengeneza videos (Videographer) iwe kampuni binafsi au shirika lolote.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4 sasa, ni nina uwezo mzuri pande zote (picha/video)
Iwe Dar es Salaam, Arusha au Zanzibar nitaweza kufanya kazi.

Mwenye kujua fursa ya namna hii, tafadhali naomba msaada!

Asante! ✌
 
Mkuu ujuzi unao kwa nini usitafute Camera ukaanza mwenyewe mdogo mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nilikua nikifanya mwenyewe last year lakini nikapoteza vifaa vyangu. Kuwekeza vifaa ni changamoto kwasasa, ndio maana natafuta sehemu nayoweza kujishikiza then nipate mwanzo mwingine wa kufanya mimi kama mimi tena.
 
Habari za leo wana Jamii Forum!

Ninatafuta sehemu ya kufanya kazi full-time kama mpiga picha (Photographer) au mtengeneza videos (Videographer) iwe kampuni binafsi au shirika lolote.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4 sasa, ni nina uwezo mzuri pande zote (picha/video)
Iwe Dar es Salaam, Arusha au Zanzibar nitaweza kufanya kazi.

Mwenye kujua fursa ya namna hii, tafadhali naomba msaada!

Asante! ✌
is https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=84013 Ingia hapo kwanza
 
Back
Top Bottom