Photos: Diamond ndio mtanzania pekee aliye alikwa na p-square kushuhudia arusi ya peter okeyo

Photos: Diamond ndio mtanzania pekee aliye alikwa na p-square kushuhudia arusi ya peter okeyo

View attachment 121958
diamond akionyesha special card ya kuingilia kwenye harusi,walipewa waalikwa pekee
uliza kingine we hater....
kama hao wanaija unawaona masupastaa sana basi mcheki model wa kibongo flaviana rubbing shoulders with billionares(trump)na wakina usher raymond mbulula we..
flavy.jpg

Z
2Q==
 
kwani Diamond kualikwa kwa ma-celebrities wenzake ni dhambi? Au hastahili kuwa ktk hiyo sherehe?
 
Back
Top Bottom