Imepita mwaka mmoja sasa (Tangu june 2016), hili la bomba la mafuta ndo mmekua mkituringia tu... mnasaign hi dili kila siku mkikutana
😕😕😵 Total ndo mwenye pesa, Tullow na CNOOC pamoja na total ndo wenye mafuta, wote siwaoni hapo, hii inamaanisha itabidi mkutane tena kama hivi msaini mkataba tena.... Alafu hapo sasa ndo muanze tender tena badae ndo msaini mkataba wa kampuni itakayo anza ujenzi, alafu badae tena ndo mfanye uzinduzi (Ground braking ceremony) ...yani kiufupi bado kuna miezi mingi kabla tuanze kuona mapicha ya Ujenzi......
meanwhile wakati tz-Ug mnaendelea ku RE-sign the oil pipeline deal, mjapan ameshakubali kutoa pesa za kupanua bandari ya mombasa tena kwa dili mpya, Yani rais na rais wanaketi kwa kameza tu hapo nje masaa ya jioni kukiwa kumetulia na kuongea ana kwa ana.. Dili inapigwa tu pole pole
View attachment 515290
Kumbuka ni juzi tu tulizindua bandari mpya berth number 21, hata barabara yake bado haijamalizwa kujengwa, sasa tushapiga dili ya kupanua bandari zaidi... Kufikia sasa bandari ya Mombasa ni mara dufu ya Dar
Kufikia sasa bandari ya Mombasa ni mara dufu ya Dar.. Nyi endeleeni kuturingia hio deal moja ya bomba kila siku ni bomba bomba!