Photos: Ex Presidents Kenya Vs Tanzania

At times we need to be sincere, JK alikuwa na mapungufu yake as a human being ila kafanya mengi
- Alianza kufanya maboresho makubwa ya mahospitali mbalimbali na kwa namna ya pekee, kituo cha upasuaji wa moyo muhimbili ilikuwa kazi yake +hospital ya Mloganzira.
- Ujenzi wa miundombinu karibia nchi nzima na katika ujenzi huo ndiko JPM alikopatia umaarufu.
- Ajira zilikuwepo + wafanyakazi kulipwa stahiki zao.
- Demokrasia ilikuwa nzuri kabisa + biashara kukuwa kwa asilimia kubwa.

N. B
JPM anafanya kazi kubwa ila tusizungumzie maraisi waliopita kama hawakufanya chochote.
 
Hehe,
Acha majirani wawasifu,
Ukitaka kuskia ukweli acha jirani azungumze kukuhusu.
Kati ya maraisi ambao ni mfano wa kuigwa kwa sasa ni uhuru, huwa hana muda na petty issues anaangalia maswala kwa jicho la mustakabali wa nchi
 
How is Tanzania a huge country poorer than Haiti ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…