Kumbe wewe unajua leo kuhusu kusambaratika kwa Kenya?, Dr. David Ndii amekuwa akilisema hili mara nyingi tu, ila kama kawaida watu walimpinga na kumpa kila aina ya jina baya, wakenya hupenda zaidi kudanganywa na kusifiwa tu.
Raila kaonyesha jinsi akili yake ilivyo mbovu. Watakaoumia from this ni Kenyans wenyewe ila that fool doesn't care. Hameni pelekeni hela kwenye companies za nje huku za nyumbani zinakufa. Politics sio business.