joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kumbe wewe unajua leo kuhusu kusambaratika kwa Kenya?, Dr. David Ndii amekuwa akilisema hili mara nyingi tu, ila kama kawaida watu walimpinga na kumpa kila aina ya jina baya, wakenya hupenda zaidi kudanganywa na kusifiwa tu.Hii nchi inaelekea kukatika