PHOTOS - Uhuru has commissioned this massive Sh65 billion superhighway in Nairobi today

It's NOT a loan to the country but to the Company undertaking the project. Jamaa mbona uelewa wako finyu hivi?

Ni loan but in terms of off balance sheet or limited recourse or non limited recourse. To understand this you have to know the mechanics of project and public finance.

You can't say it is not the loan to GoK while is going to give the guarantee to commercial bank that the project company is going to borrow money.

I think you understand the meaning of government guarantee.
 
In case you are late to the party.. We are a capitalist nation not a socialist one like you guys.

*drops mic and walks away*
Poor kibera dwellers just got hit with the mic you dropped, and they saying to themselves, the gods must be crazy.
 
Tz zimewekwa katika mafuta na tunafurahi namna barabara zinavyojengwa
 
Eti a small profit
 
Hapana mahali pameandikwa kwamba mwananchi atalipishwa kupita hapo.

Sisi tunafanya maisha na watu wenye akili,sio vibaka.china ni wahuni tu.

Kigamboni magari hupita bure bila kulipa sio?
 
Hapana mahali pameandikwa kwamba mwananchi atalipishwa kupita hapo.

Sisi tunafanya maisha na watu wenye akili,sio vibaka.china ni wahuni tu.
Kwa hivo Kigamboni bridge mnayolipishwa ni ya China sivyo?
 
Hatuitendei haki Nairobi kuilinganisha na Dar es salaam. ccm oyee😁
 
Kulingana na logic yako ni mali ya China.
Sasa unataka ubishe kitu gani[emoji1][emoji1]

China wanajenga hiyo barabara kwa hela zao,kisha wanaisimamia wakiiendesha kwa miaka 50 ijayo,halafu useme hiyo barabara ni malia ya kenya[emoji38][emoji38][emoji38],labda kama mna mpango wa kuwanyang'anya.
 
Kwa hivo Kigamboni pia ni ya Wachina?
 
Hiyo sio kazi yangu kukujibu,jishughulishe.

Au hujui tunajadili nini hapa!!!!

Bro nimegundua, tunahojiana na wakenya wenye uelewa na elimu ndogo sana. Eti wameshupalia kuwa ule siyo mkopo. Wakati Kenya lazima itoe guarantee kwa bank ambayo project company itakopa, ili spv ikishindwa kulipa deni, Kenya italipa deni bila masharti yoyote. Pia lazima demand risk iwe transfered kwa Kenya. Katika maana ya kuwa, collection target isipofikia, lazima Kenya ifanye topping up.
Hawajui mechanics of PFI/PPP, lakini jubilee apologetics are keeping on yapping. Pimbaf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…