mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Ujinga nawewe unao.Watanzania acheni ujinga..
Kuna tofauti gani kati ya toll fee na Road license?
Tanzania kila mwenye gari hata kama linatembea kwenye barabara ya matope analipa road license ambayo zamani ilikua unalipia TRA na unapewa sticker ila sasa ivi unakatwa kwenye mafuta.
Ujamaa umewapumbaza watz.
Kwani kwenye litre moja ya mafuta unalipia shingapi ya road license????na je unafahamu litre moja ya petrol kenya ni shilingi ngapi ukilinganisha na tz???
Unaandika tu.