PHOTOS - Uhuru has commissioned this massive Sh65 billion superhighway in Nairobi today

Sijapata uchambuzi wa mahesabu yake vizuri, lakini ninachojua ni kwamba kufumua katikati ya mji sio mchezo, haswa kwa Nairobi.
Some buildings lazma ziangushwe,,,plus land mob prime itachukuliwa from owners especially expensive areas around Nairobi school na central park,uhuru park,railways..alot of compensations..... Westlands especially
 
The free road is also being re-constructed.
It will include a bus lane and on some sections a 2 lane service road on both sides.

Yaaa, that's how it works. But the free road will be having more restrictions than the toll road, such as speed limits signs, speed humps/bumps.
 
So ni kitu gani umeeleza tofauti na inavyofahamika, wapi nimesema Mchina akijenga anaondoka zake, umenipotezea muda kusoma maandishi mengi yasiyo na chochote kipya.
 
Mm ni Mtanzania. Nawapongeza Kenya ktk Miundombinu.

Tz ni siasa za Kijinga tupu! Mvua imenyesha wiki1 tu Dar nzima Bahari. Barabara zikafungwa!!
Ni wapi ambapo mvua ikinyesha hakujai maji. Maana Japan yenyewe ipo kwenye mafuriko kutokana na mvua zinazonyesha
 
So ni kitu gani umeeleza tofauti na inavyofahamika, wapi nimesema Mchina akijenga anaondoka zake, umenipotezea muda kusoma maandishi mengi yasiyo na chochote kipya.

Bro this is kinda of a Technical stuff. If you don't follow, it's better you quietly pass rather than attacking the person.

Tell us is not the burden to Kenyans.
My worries are about cost of the project and revenue sharing.
 
Yaaa, that's how it works. But the free road will be having more restrictions than the toll road, such as speed limits signs, speed humps/bumps.
What the fvck are you on? πŸ˜‚πŸ˜‚
Those are not restrictions at all but merely road facilities/amenities. Na ndio maana the 'free road ' you are talking about is NOT referred to as an expressway.
 
Bro this is kinda of a Technical stuff. If you don't follow, it's better you quietly pass rather than attacking the person.

Tell us is not the burden to Kenyans.
My worries are about cost of the project and revenue sharing.
Why are you worried on behalf of Kenyans? Si nilidhani nyinyi mpo poa tu? And what do you mean by 'revenue sharing' ?? πŸ˜‚
 
Some buildings lazma ziangushwe,,,plus land mob prime itachukuliwa from owners especially expensive areas around Nairobi school na central park,uhuru park,railways..alot of compensations..... Westlands especially

Zinaweza kupita juu kwa juu. Maana hao kwao wana practice 3d property unit.
 
Designed, Funded, Constructed and Operated, Maintained by CCCC,
Kenya ndiyo inauzwa hivyo,
Hapo uhuru atakuwa amepiga mpunga mrefu sana wa kustaafia kabisa,
Manina
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
So ni kitu gani umeeleza tofauti na inavyofahamika, wapi nimesema Mchina akijenga anaondoka zake, umenipotezea muda kusoma maandishi mengi yasiyo na chochote kipya.

Mzee wakati mwingine acknowledge ukipewa Shule,
Ni wazi hapo ulikuwa mweupe umepigwa shule unajifanya ulikuwa unajua,
Humu kuna Taaluma nyingi tofauti, Wenye Busara wanalithamini hilo,
Ila ukiwa hivi unaonekana sasa ni mpumbavu, Huu msamiati sio mzuri kwa Watu wazima ila unamaanisha mtu anaelazimisha kuonekana anafahamu kila kitu.
Calm down and Learn.
 
Sas ulitaka unywe hayo maji? Kuna sehem mvua inanyesha na maji hayasimami!? Angalia habari uone maji yanavosimamisha shughuli marekani
Mm ni Mtanzania. Nawapongeza Kenya ktk Miundombinu.

Tz ni siasa za Kijinga tupu! Mvua imenyesha wiki1 tu Dar nzima Bahari. Barabara zikafungwa!!
 
Bro this is kinda of a Technical stuff. If you don't follow, it's better you quietly pass rather than attacking the person.

Tell us is not the burden to Kenyans.
My worries are about cost of the project and revenue sharing.

What's so technical about anything here, I deal with far more complex stuffs for a living, at no point have I attacked anyone, you're trying so hard to sound relevant while playing victim card. Yes there is a cost to it, this is not being handed to us as a donation like Japanese did to you.
It's a public infrastructure where CRBC will invest its own money and later recoup its investment from toll fees paid by motorists using the road.
What's more important is the socio-economic benefits that will derived from its use.
 
Mpaka hapo najaribu kusoma comments zenu Watanzania nashindwa kuelewa nini haswa mnabwabwaja, bila hata kuelimishwa na mtu, taarifa zenyewe zimejisimamia na kueleza jinsi gani huu mradi utagharamiwa, maana hatupewi bure kama msaada mliopewa na Mjapani, taarifa zimeandikwa kwa kingereza chepesi kwamba tutalipa tozo ili Mchina akusanye gharama zake, sasa nini kipya mnachokileta, huu mradi utawauma sana nyie, maana hapo tayari tumewapiga mabao kumi kwa bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…