Php homework, don't forget laravel framework 5v+++

Php homework, don't forget laravel framework 5v+++

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Title haina maelezo sana ila uzi ni wa homework.

Yeyote anayejiamini atatoa homework ili watu wajifunze kupitia homework kufanywa na ukishafanya basi tupia solution yako.

usianze ushamba wa kulinganisha lugha, Wewe fanya homework, tusaishane hapa

Naanza mimi.

Nina form ambayo ninatatka kutuma user name kwenye database, basi nafanyaje hapa?

Nakutakia homework njema.
 
Yeyote atatoa homework, usianze ushamba wa kulinganisha lugha, Wewe fanya homework, tusaishane hapa

Naanza mimi.

Nina form ambayo ninatatka kutuma user name kwenye database, basi nafanyaje hapa?

Nakutakia homework njema.
post
 
Sijajua concept ya huu Uzi,ila
Ukiuliza swali la namna hio,huna budi kutuonyesha codes za walau ulipofikia ili iwe rahisi kwetu kujua tunaanzia wapi kujibu swali lako

Tuonyeshe codes zako
 
Sijajua concept ya huu Uzi,ila
Ukiuliza swali la namna hio,huna budi kutuonyesha codes za walau ulipofikia ili iwe rahisi kwetu kujua tunaanzia wapi kujibu swali lako

Tuonyeshe codes zako
Kwa wale wanaojifunza, php ama laravel, I'm here to brush them and even you, pia unaweza weka homework ili kusaidia wengine

Nishatupia yangu sioni anayejibu.

Mimi sijaonba jibu, ila nimetoa homework kwa atakaye fanya aweke hapa tusaishane
 
Ungetupia homework yako kule Github ili vijana wajifunze kitu, na wengine pia wenye homework zao watupie humo, hivyo ndio namna ya kuelimishana. Hakikisha code yako umeweka maelezo/comments za kutosha.
 
Ungetupia homework yako kule Github ili vijana wajifunze kitu, na wengine pia wenye homework zao watupie humo, hivyo ndio namna ya kuelimishana. Hakikisha code yako umeweka maelerzo/comments za kutosha.
Okay, i will do it in a few min
 
Back
Top Bottom