Phtos that Kenyan Politicians wont show you!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Kenyan politicians are busy lying their citizines that their country is better than Tanzania and that the size of their economy is 1.6 that of Tanzania. But in reality they wont show you how Tanzania fair better than Kenya.
Kenya, when it comes to Tanzania, it treats its citizens like North Korea, denying them the rights to see the rising of Dar Es Salaam.
In short, many Kenyans who happens to drift and work in Tanzania, never likes to go back home again...

 
Really?? Nyie watu mumekaririshwa vitu vya ajabu, mnafaa mfikie hatua ya kuanza kutumia akili zenu pamoja na hizo za kuambiwa. Hivi ni mwanasiasa gani Mkenya huwa anawaza Tanzania eti apoteze muda wake kutuziba tusiione Dar.
Kwa kweli mimi hata ningechagua kuishi kwenu nisingechagua Dar, labda miji mingine kama Morogoro, Arusha au hata Dodoma.
Huo mji wenu wa Dar hamjaupanga kabisa, halafu mifereji ya maji taka kero tupu, foleni zenyewe ndio usipime, ukiongeza na joto yaani hata wiki moja mtu anahisi kuchizi.

Hebu ona hii picha umeleta hapa jinsi majengo yamekaa, yaani katikati ya mji NCBDA utadhani ni makazi, residential area



Majengo ya mjini yanafaa kuwa yamepangwa corporatish

 

Really?? Is someone proud of this kind of slum?? Come on!!!
 
what kind of bullsh!t is this?
 
what kind of bullsh!t is this?
Which Rights are these???
Clearly you are an airhead.
Yeah! If you start to count tall structures in Dar, you may take two months, where as it takes two days to do the same in Nairobi...
Which Rights are these???
Clearly you are an airhead.
Jamani hiyo ni blog yenu wazee na si bongo5.com na analyst anaitwa Ojwang Maina,punguzeni povu
 
This guy anataka ubishi... Try again lol... Politician mgani Kenya anashughulika na tz
 
Jamani hiyo ni blog yenu wazee na si bongo5.com na analyst anaitwa Ojwang Maina,punguzeni povu
enyewe anaweza kuwa mKenya juu ya kuaibisha Dar kwa kupost the slums in Darislum. but mtu anaitwa Ojwang au Maina Kenya hawezi kuandika kiingereza terrible namna hii. hata sisi pia tumemkataa. labda tuulize Uganda kama ni wao
 


Hahaha. Hongera zenu. Kweli mmendelea.
 
Tembeeni ndugu zetu waTanzania. There is a whole world beyond Dar
 
hahaaa......you tried very hard,I must give you tha.The joke is on you however..
 
Wacha kujiabisha wewe! Na huu uhuru WA vyombo vya habari kenya . Wakenya wanajua kinachoendelea kila Kona ya ulimwengu huu vile wasomavyo viganja zao. Itakuwa ni hapa Tanzania? Kwa mapungufu yenyu ya kukatalia lugha moja 'tukufu' ya bongo huwa inawafanya kupitwa na mambo mengi sana.
 
Yeah! If you start to count tall structures in Dar, you may take two months, where as it takes two days to do the same in Nairobi...
Yes I do agree with you 100%! Counting less than 50 scattered Items amongst dirt might just prove to challenging as compared to a million well planned and clean ones. And that's what differentiates Nai na Dar, you are on point brother.
 
This is a city...don't show as slums
 
i see jf kenyans are being challenged back and forth.they have no where to hide. kudos my fellow tanzanians.keep them busy.
 
Kenya should stop comparing themselves as the economic giant in east Africa...

Kenya amkeni joh Tanzania ni level zingne
 
enyewe anaweza kuwa mKenya juu ya kuaibisha Dar kwa kupost the slums in Darislum. but mtu anaitwa Ojwang au Maina Kenya hawezi kuandika kiingereza terrible namna hii. hata sisi pia tumemkataa. labda tuulize Uganda kama ni wao
Really?? Is someone proud of this kind of slum?? Come on!!!
Aisee guys you don't know slums kama hujawahi ona one of these
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…