LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Ata no infrastructure, no roads no nothing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Really?? Nyie watu mumekaririshwa vitu vya ajabu, mnafaa mfikie hatua ya kuanza kutumia akili zenu pamoja na hizo za kuambiwa. Hivi ni mwanasiasa gani Mkenya huwa anawaza Tanzania eti apoteze muda wake kutuziba tusiione Dar.
Kwa kweli mimi hata ningechagua kuishi kwenu nisingechagua Dar, labda miji mingine kama Morogoro, Arusha au hata Dodoma.
Huo mji wenu wa Dar hamjaupanga kabisa, halafu mifereji ya maji taka kero tupu, foleni zenyewe ndio usipime, ukiongeza na joto yaani hata wiki moja mtu anahisi kuchizi.
Hebu ona hii picha umeleta hapa jinsi majengo yamekaa, yaani katikati ya mji NCBDA utadhani ni makazi, residential area
![]()
Majengo ya mjini yanafaa kuwa yamepangwa corporatish
![]()