Babu yako anaweza kujibu Kwa nini baadhi ya Kona kwenye barabara inalalia upande mmoja? Kwa hiyo unaamini kabisa mafundi ujenzi wanajenga Barabara pasipo maelekezo ya watalaam(wahandisi)?
Kwamba mafundi wanajikusanya Tu na kuanza kujenga? Unatakiwa ujue ujenzi wa Barabara , maghorofa, madaraja unaanzia kwenye karatasi na maabara. Babu yako na mafundi ni watekelezaji WA kile kilichoamriwa na watalaam na wanatekeleza Kwa kusimamiwa na watalaam na ndio maana Babu yako hawezi kujibu Kwa nini Barabara kulalia upande mmoja kwenye Kona.