Aliekuambia massive constructions ndio zinapelekea banking of the road ni nani? Unabisha tu ilimradi. Nakuelewesha kidogo tu...banking of the road factors zake ni speed ya magari na Radius ya curve. Hivyo vitu vinakupa centrifugal force, hii ni force ambayo inavuta gari nje pindi gari linatembea kwenye curve. Sasa kutokana na hilo ndio maana kwenye curve kunakuwa banked ili ku overcome outward force lakini sio Kwa kila curve sababu curve ambazo centrifugal force ni kidogo banking of the road Una achana nayo.Banking of road !!, kipindi cha babu yangu hakukuwa na massive constructions za barabara kiasi kwamba the Banking at the corners of roads ihusike, juu ya yote asingeshindwa kitambua jambo hilo.
Physics haina msaada kwetu, inaomsaada kwa watu wengine, let them do it effectively and let's do something else effectively as a substitute to Physics, that's what I mean.---- so far with your knowlefge of Physics, have you ever made even a needle??
Sasa Babu yako au Wewe ambao hamjui physics utajuaje curve Fulani iwekewe banking na Kwa kiwango gani?
Vile vile unaamini kabisa maghorofa yanaweza kusimama bila physics? Zile nondo unaona zinasukwa kwenye beam au elements zingine hiyo yote ni mchango wa physics. Uta calculate forces na bending moments na hivyo kupelekea nondo zako ziweje na usukwaji wake. Sasa kama hujui physics kama Wewe na Babu yako hizo bending moments utazipata vipi?
Au unaamini mafundi huwa wanajisukia tu?
Bila physics hakuna Civil engineers na bila civil engineers hayo maghorofa na Barabara utazijenga vipi?
Vile vile Kutoa maji kutoka mto ruvu mpaka Dar es salaam haiwezi kufanikiwa bila mchango wa Physics. Bila Physics hakuna taifa na mchango wa Physics haupo Tu kwenye kutengeneza vitu viwandani kama hizo sindano.