Physics V/s Geography

Broken soul

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
459
Reaction score
131
Habari zenu wasomi wetu





Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??

Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..


Nyie mnaonaje wadau??
 
Unasoma pcb alafu unataka kuopt geography?kwa sababu physics haisomeki?
Fafanua vizuri,
 
Wahi cbg uwe ka mimi, saiv nipo udsm nakula nakula kitu roho inapenda
 
Haha ndo plan maana physics mziki mnene, bora nisome map na statistics lol

Vijana wa siku izi sijui nini kina wasibu!? kwani wewe huna malengo maishani mwako??? na kwa nini unafwata mkumbo??
kijana kaa tulia na usome kuja humu jamvini na kuanza piga makelele mara physics imefanyaje haitakusaidia kitu!! timiza malengo na usiwe mtu wa kukata tamaa mapema kiasi hicho!!
 



Kila mtu ana weakness zake

Ndo maana kuna wanaosoma pcm na wengine wanasoma hkl sio lazma tulingane wote

Kama Sina uwezo wa kusoma physics nijilazimishe??!

Ahsante kwa ushauri wako lkn
 
We sema tu topic ambazo ni ngumu kwako ili uje nikupe tution acha kulalamika kijana
 
aisee Phy ni noma.. hama fasta.. practical zake tu majanga.. kuwa kama mm na Geo.. nakula maisha ya chuo...
 
piga CBG dogo mwenzio nlisoma hiyo nko hapa BUGANDO napiga MD bt kaza sana chem na bios atleast C at each! karibu bugando ukule anatomy ya dr manyama!!!
 
EGM, CBG,
Kama haziuiani hv
CBG > doctor geography ya nin
EGM > economics siku iz had Computer anasoma 2! geography ya nin
et kuna CBM, PCE, CBE,
yan combination hazijakaa sawa kabisa!
 
Badili kulingana na unachotaka, japo uende ukijua unataka kuja kusoma nini baadaye... Have a goal n stick into it sio ushaogopa somo mapema kabla hujaanza, ucdhani kwenye geography ndio pa kutokea... One thing ill assure u, ukikaa ukatuliza kichwa na kusema vingine vyote visubiri hadi nimalize f6 ukakalia kitabu kisawasawa hata hiyo Physics A inakuja, ila unatafuta ati wapi rahisi ili usome kizembezembe mkuuh hata G huko utaambulia F
 
piga CBG dogo mwenzio nlisoma hiyo nko hapa BUGANDO napiga MD bt kaza sana chem na bios atleast C at each! karibu bugando ukule anatomy ya dr manyama!!!



Hiyo kitu nikiwaambia wengi wanabisha sana

Et huwez kua daktari kama hujasoma physics
 



Sawa mkuu nimekusoma


Kweli natafuta kitu ambacho angalau naona ntaweza kukihandle kuliko kung'ang'ania kitu nsichokiweza jus for the sake dream yangu ni kua daktari, dream change too

Wanasema ndege mmoja uliemshika mkononi ni bora kwako kuliko ndege wengi wanaoruka ruka angani
 
nilichogundua kijana unahofia shule na si kowamba huna uwezo na hiyo physics. siri moja ya kufaulu physics ni kuhakikisha hulali hata siku moja pasi kusoma hata subtopic moja ya phsics kisha kusolve tu maswali hata tutatu hivi.

lakin kwakua umeshaonyesha nia ya kutaka kubadili basi nenda kwa cbg
 
you have to think big

tatizo la elimu yetu ya tz inategemeana na mazingira na msingi wako binafsi!!! kwa hiio ni 50/50 xo angalia mbele unataka kuja kufanya nin!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…