Physics V/s Geography

Physics V/s Geography

Habari zenu wasomi wetu

Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??

Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..

Nyie mnaonaje wadau??

kwani unaona geography ndo rahisi??kalale uone utakavyotaga,unacheza na climatology,soil
 
Habari zenu wasomi wetu

Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??

Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..

Nyie mnaonaje wadau??
Ulikuwa umejaza PCB kwa ajili masifa au una malengo nayo. Malengo ya maisha ni kuwa nani?
 
Kila mtu ana weakness zake

hapo sikubishii...ila na MIMI NAONGEZEA "KILA MTU ANA MALENGO YAKE" je hapo unabisha???
Ndo maana kuna wanaosoma pcm na wengine wanasoma hkl sio lazma tulingane wote
Hii ni dalili ya kukata tamaa...
Kama Sina uwezo wa kusoma physics nijilazimishe??!
Samahani nikukatishe!!! unaweza jia moyo kwamba waliosoma cbg wanapokelewa M.D embu nenda vyuo kama muhimbili na KCMC uone kama wewe na cbg yako watakupokea hata kama una 1.3 (na siku izi hata pharmacy hawapokei mtu wa cbg)!!!
Ahsante kwa ushauri wako lkn
YOUR WELCOME...lakini kumbuka haya maneno......hamna kitu cha muhimu kama mtu kutimiza malengo yake katika maisha!!! naamini mpaka umepangwa pcb ni kwamba una uwezo!!! natamani ningekua kwenye nafasi uliyo nayo... Ila mwisho wa siku uamuzi ni wako na sisi ni washauri tu!!! all the best..
 
aisee Phy ni noma..hama fasta

ukiwa unamaanisha nini!!!
practical zake tu majanga kuwa kama mm na Geo
kama wewe ulishindwa kwa nini unataka na mwenzako ashindwe?? sielewi ni kwanini wa Tanzania tuna tabia ya kukatishana tamaa!!! kwa haya maneno yako unajenga unabomoa??
nakula maisha ya chuo
kwa ulichoandika ni vigumu kumwelewesha mtu eti na wewe ni mwanachuo!!!
 
Habari zenu wasomi wetu

Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??

Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..

Nyie mnaonaje wadau??
kwani kichwa chako hakiwezi kutambua nn usome,kama hakiwezi kutambua basi wewe utapata shida A-LEVEL.
NB:HEBU TAFAKARI,CHUKUA HATUA NI KITU GANI UNAWEZA SOMA.
 
Soma geog physics inahtaj commitmEnt ya hali ya juu grade ya physics olevel isikupe kiburi
 
Jaman wadau wana JF naombeni msaada kwa wanaojua zaidi kuhusu kozi hii kuwa m2 anapomaliza anaweza kufanya kaz gan na Degree hii inapatikana vyuo gani hapa Tz!!!!
 
Soma geog physics inahtaj commitmEnt ya hali ya juu grade ya physics olevel isikupe kiburi

Una mawazo mazuri lakini uandishi wako ni mbovu mno!!! sina imani kama kuna somo ambalo hali hitaji "commitment", hata kwenye hiyo goegraphy unayomshauri pia asipo kua na commitment bado hata fanya vizuri!!!
 
Back
Top Bottom