Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
Hiyo kitu nikiwaambia wengi wanabisha sana
Et huwez kua daktari kama hujasoma physics
Habari zenu wasomi wetu
Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??
Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..
Nyie mnaonaje wadau??
njoo mapambano mwenge tupo tuliobobea kwenye fani zetu
Ulikuwa umejaza PCB kwa ajili masifa au una malengo nayo. Malengo ya maisha ni kuwa nani?Habari zenu wasomi wetu
Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??
Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..
Nyie mnaonaje wadau??
Kila mtu ana weakness zake
Hii ni dalili ya kukata tamaa...Ndo maana kuna wanaosoma pcm na wengine wanasoma hkl sio lazma tulingane wote
Samahani nikukatishe!!! unaweza jia moyo kwamba waliosoma cbg wanapokelewa M.D embu nenda vyuo kama muhimbili na KCMC uone kama wewe na cbg yako watakupokea hata kama una 1.3 (na siku izi hata pharmacy hawapokei mtu wa cbg)!!!Kama Sina uwezo wa kusoma physics nijilazimishe??!
YOUR WELCOME...lakini kumbuka haya maneno......hamna kitu cha muhimu kama mtu kutimiza malengo yake katika maisha!!! naamini mpaka umepangwa pcb ni kwamba una uwezo!!! natamani ningekua kwenye nafasi uliyo nayo... Ila mwisho wa siku uamuzi ni wako na sisi ni washauri tu!!! all the best..Ahsante kwa ushauri wako lkn
aisee Phy ni noma..hama fasta
kama wewe ulishindwa kwa nini unataka na mwenzako ashindwe?? sielewi ni kwanini wa Tanzania tuna tabia ya kukatishana tamaa!!! kwa haya maneno yako unajenga unabomoa??practical zake tu majanga kuwa kama mm na Geo
kwa ulichoandika ni vigumu kumwelewesha mtu eti na wewe ni mwanachuo!!!nakula maisha ya chuo
kwani kichwa chako hakiwezi kutambua nn usome,kama hakiwezi kutambua basi wewe utapata shida A-LEVEL.Habari zenu wasomi wetu
Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??
Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..
Nyie mnaonaje wadau??
kwani kichwa chako hakiwezi kutambua nn usome,kama hakiwezi kutambua basi wewe utapata shida A-LEVEL.Habari zenu wasomi wetu
Hivi Kati ya physics na geography ni somo lipi unaweza kumshauri mtu kulisoma advance level??
Napiga PCB alaf kama physics haisomeki Kabisaaa kwangu, najaribu kufikiria kuopt geography , maana sioni sababu ya kusoma kitu ambacho ntaambulia F mwisho WA siku..
Nyie mnaonaje wadau??
Soma geog physics inahtaj commitmEnt ya hali ya juu grade ya physics olevel isikupe kiburi