Physics

Physics

Ok Mkuu. How?
anza kuweka mipango ya namna gani utasoma pangilia muda wako vizuri ,tafuta materials mbalimbali kwa ajili ya kujisomea
lakini pia kama hiyo ni ngumu jaribu kutafuta mwalimu wa physics ambaye atakuwa anakufundisha na kukusaidia pale unapokwama
jitahidi kuwa na nidhamu binafsi nayo itakusaidia sana kutokughairisha uliyopanga kufanya
 
Back
Top Bottom