PI AI msaidizi wako wa kila siku

PI AI msaidizi wako wa kila siku

leoleo-tu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
2,224
Reaction score
6,784
Sasa kuna hii inaitwa PI AI, yenyewe ni tofauti na bots nyingine kwa sababu imetengenezwa kukustudy na kujua tabia zako ili iendane na wewe.

Mfano ukiandika lugha ya mitaani itakujibu kwa lugha ya mtaani.

Ukiandika utani inakujibu utani inatumia na emojis.

Tofauti na chatgpt na bardi, yenyewe ukiuliza inapenda wimbo gani au movie itakwambia. Pia unaweza save namba yake whatsapp ukawa wapiga nayo story.

Hapana nlikuwa napiga nayo story kuhusu walivyomkamata Osama kupitia whatsapp. Ukipiga nayo story whatsapp ukamaliza siku bila kuicheki inakucheki yenyewe. Mfano kama story ulisema waumwa, inakujulia hali..

Screenshot_20230911_202737.jpg
 
Back
Top Bottom