Kuvutia wateja baba hivi hivi shoo inabumaIla mimi sijaelewa maana kwanza ilikuwa ni WCB perfomance lakini kila saa inakuwa tena wanaongezwa wanawake malaya na vichupi sasa nitoe alfu 30 kwa mziki au kushangaa vichupi. Bado sijaelewa madhumuni ni nini.
Hapo bado ujamsoma Ameongeza thamani kazi ykeAma kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Wanaume WA kwetu Dar city hapa hapa
Huyu kaja likizo Dar, sasa hivi wamefunga shule.Atakuwa kijana wa mkoani.Wanaume wa dar ni shida sana [emoji23]
Subiri siku ya show ndo utajua waliuza ngapi....utayadhalau maneno yako mwenyeweAma kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
[emoji23] [emoji23] anajiselfie
Wewe na Ali Kiba sawa na FaizaFox na JK. Mwisho wa kukunukuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]Wazee wa sold out [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho tunataka picha za kila angle,ile tabia yenu ya kutupigia picha za karibia na stage tu hapana taka [emoji114]
Hamna cha marketing strategy wala nini,kwani hii ndio show ya kwanza ya Diamond?
Aaarrrgghhh tuache maneno tusubiri kesho panapo majaaliwa
Nimenuna kama nini hapa [emoji17] [emoji17] [emoji17] tena usinikumbushe [emoji24]
Uliniambia #kajiandae# nimejiandaa... [emoji40]
Halafu anazouza yeye ni laki 1!
Mhhhhhh hebu tusubiri hiyo kesho...huenda mambo yakiwa mabaya wataziuza kwa bei ya taifa elfu 10.
Kojoa ulaleAma kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Kwani hapo kuna tatizo ?nilichogundua hapa
mashabiki wa Ali "K" ndio watu wanaomfuatilia sana Diamond Platinumz na WCB kwa ujumla hata kuliko mashabiki wa Diamond.
Na ndio watu ambao wana full-updated details za Diamond hata kuliko mashabiki wa Diamond
Na ndio maana hata Diamond anapata viewers wengi sana Youtube hadi inaanza kusemekana amenunua kwa sababu anamashibiki hadi wale wa Ali "K"
Halafu hao hao ndio wanaanza kuhoji amepataje hizo viewer wakiwa wamesahau kuwa wao ndio walikuwa watu wa kwanza kabisa kuitazama video.
USHAHIDI NI COMMENTS ZA HII POST
IDADI TUMEZIDIANA KABISA..
Huu ni ukweli.nilichogundua hapa

Mwisho wa siku akizipata watarudi na kusema jamaa ni freemason, mara ana babu yake nklengo la mwisho ni kutafuta hela we baki kubwabwaja tu ,, mtu anatafuta hela ya kuendesha maisha yake wee umekalia majungu tu