PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

Ila mimi sijaelewa maana kwanza ilikuwa ni WCB perfomance lakini kila saa inakuwa tena wanaongezwa wanawake malaya na vichupi sasa nitoe alfu 30 kwa mziki au kushangaa vichupi. Bado sijaelewa madhumuni ni nini.
Kuvutia wateja baba hivi hivi shoo inabuma
 
Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Hapo bado ujamsoma Ameongeza thamani kazi yke
 
Huyo Dada alie vaa singred ya njano anae piga picha na Diamond kama ni mke wako utachukua hatua gan?sio kwa jicho hilo
 
Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Subiri siku ya show ndo utajua waliuza ngapi....utayadhalau maneno yako mwenyewe
 
Wazee wa sold out [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho tunataka picha za kila angle,ile tabia yenu ya kutupigia picha za karibia na stage tu hapana taka [emoji114]

Hamna cha marketing strategy wala nini,kwani hii ndio show ya kwanza ya Diamond?
Aaarrrgghhh tuache maneno tusubiri kesho panapo majaaliwa

Nimenuna kama nini hapa [emoji17] [emoji17] [emoji17] tena usinikumbushe [emoji24]
Uliniambia #kajiandae# nimejiandaa... [emoji40]
Wewe na Ali Kiba sawa na FaizaFox na JK. Mwisho wa kukunukuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
 
Halafu anazouza yeye ni laki 1!
Mhhhhhh hebu tusubiri hiyo kesho...huenda mambo yakiwa mabaya wataziuza kwa bei ya taifa elfu 10.

lengo la mwisho ni kutafuta hela we baki kubwabwaja tu ,, mtu anatafuta hela ya kuendesha maisha yake wee umekalia majungu tu
 
nilichogundua hapa
mashabiki wa Ali "K" ndio watu wanaomfuatilia sana Diamond Platinumz na WCB kwa ujumla hata kuliko mashabiki wa Diamond.

Na ndio watu ambao wana full-updated details za Diamond hata kuliko mashabiki wa Diamond

Na ndio maana hata Diamond anapata viewers wengi sana Youtube hadi inaanza kusemekana amenunua kwa sababu anamashibiki hadi wale wa Ali "K"
Halafu hao hao ndio wanaanza kuhoji amepataje hizo viewer wakiwa wamesahau kuwa wao ndio walikuwa watu wa kwanza kabisa kuitazama video.

USHAHIDI NI COMMENTS ZA HII POST
IDADI TUMEZIDIANA KABISA..
Kwani hapo kuna tatizo ?
 
Huu ni ukweli.
 
Samahanini waungwana... mi mgeni humu! Kwani huyu Diamond bado anaendelea ku-trend? Nauliza hivi kwa sababu zamani sana wakati nasoma nilisikia anguko lake lilikuwa linakaribia! Au Diamond huyu sio yule aliyekuwa anatembelea nyota ya Wema?! Au tuendelee tu kusubiri kama tunavyosubiri kurejea kwa Yesu?!

Natanguliza shukrani zangu kwa atakayenielimisha!
 
lengo la mwisho ni kutafuta hela we baki kubwabwaja tu ,, mtu anatafuta hela ya kuendesha maisha yake wee umekalia majungu tu
Mwisho wa siku akizipata watarudi na kusema jamaa ni freemason, mara ana babu yake nk

Ukweli ni ukweli tu, jamaa ni real fighter wa maisha, anapigana sana
 
Back
Top Bottom