Samahanini waungwana... mi mgeni humu! Kwani huyu Diamond bado anaendelea ku-trend? Nauliza hivi kwa sababu zamani sana wakati nasoma nilisikia anguko lake lilikuwa linakaribia! Au Diamond huyu sio yule aliyekuwa anatembelea nyota ya Wema?! Au tuendelee tu kusubiri kama tunavyosubiri kurejea kwa Yesu?!
Natanguliza shukrani zangu kwa atakayenielimisha!
Jamaa hatarWasingetoa hayo maji vile vikaratasi ingeonekana kama wanayapromote ?? Kweli mond unaijua hela
Kwenye suala la marketing kuna kitu kinaitwa branding,Mzee wa 'Sold Out' naona safari hii kumebuma mpaka kaamua aingie mwenyewe mtaani kuuza tiketi
Kwanii pale ana performnilichogundua hapa
mashabiki wa Ali "K" ndio watu wanaomfuatilia sana Diamond Platinumz na WCB kwa ujumla hata kuliko mashabiki wa Diamond.
Na ndio watu ambao wana full-updated details za Diamond hata kuliko mashabiki wa Diamond
Na ndio maana hata Diamond anapata viewers wengi sana Youtube hadi inaanza kusemekana amenunua kwa sababu anamashibiki hadi wale wa Ali "K"
Halafu hao hao ndio wanaanza kuhoji amepataje hizo viewer wakiwa wamesahau kuwa wao ndio walikuwa watu wa kwanza kabisa kuitazama video.
USHAHIDI NI COMMENTS ZA HII POST
IDADI TUMEZIDIANA KABISA..
Ndio nini sasa yani ununue tiketi kwenda kumuona anae kuuzia tiket ni umbumbu wa kiasi gani huo?!
Ndo walewale kasoro MAJINA...................
Mwisho wa siku akizipata watarudi na kusema jamaa ni freemason, mara ana babu yake nk
Ukweli ni ukweli tu, jamaa ni real fighter wa maisha, anapigana sana
Diamond sasa hivi anatembelea nyota ya Ommy Dimpo
Mkuu unataka kunihakikishia kwamba watoto wa mchungaji wasiwe wanaenda ibadani kisa baba yao ndo anahubiri!?Ndio nini sasa yani ununue tiketi kwenda kumuona anae kuuzia tiket ni umbumbu wa kiasi gani huo?!
Uwezo wako wa kufkili umeishia hapoDiamond sasa hivi anatembelea nyota ya Ommy Dimpo
Uwezo wako wa kufkili umeishia hapo
Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!
Imebuma?mpaka chibu kawa chinga... Nilijua sold out in 24hrs
Halafu anasifiwa eti ni marketing strategy.Kuna mtu nilimuonyesha huku ugaibuni msanii Anauza tkt za show yake Kwenye mall alicheka Sana akasema kwani Hana management