PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

PICHA 18: Diamond Platnumz na Team yake WCB walivyoziuza tiketi kwa mashabiki

Hahahaaa....
Samahanini waungwana... mi mgeni humu! Kwani huyu Diamond bado anaendelea ku-trend? Nauliza hivi kwa sababu zamani sana wakati nasoma nilisikia anguko lake lilikuwa linakaribia! Au Diamond huyu sio yule aliyekuwa anatembelea nyota ya Wema?! Au tuendelee tu kusubiri kama tunavyosubiri kurejea kwa Yesu?!

Natanguliza shukrani zangu kwa atakayenielimisha!
 
Ubunifu muhimu....na watajaza watu as usually....mungu aendelee kumuongoza chibu d!!
 
Mtasubirii Sana'a huyoo mwngnee akifany show kubwaa plus VIP mwish 20000 sasa lakii unafikir mchez usawa wa magufulii.Na show itabamb wivuu tu huyuu ambassador wa temboo show anapig WAP kwa mfanoo
 
Mzee wa 'Sold Out' naona safari hii kumebuma mpaka kaamua aingie mwenyewe mtaani kuuza tiketi
Kwenye suala la marketing kuna kitu kinaitwa branding,
Sio kwamba kashindwa kuacha na mpka ziwe sold out aliweza kwa ukubwa wa promotion yake lakin aliangalia pia suala la muda ndo mana utaona yeye pekee alikua akiuza za 100000 kwanini unadhani naamini ni kwasababu anajua yeye ni brand kubwa kwa sasa lazima wengi watajitokeza kwasababu hyo,, hata nje utaona soksi ya star ikiuzwa mpka dollar 100000 ni kwasababu ya brand. Usije ukashangaa siku Platnumz akiuza saa yake au kiatu kwa gharama ya juu sana
 
nilichogundua hapa
mashabiki wa Ali "K" ndio watu wanaomfuatilia sana Diamond Platinumz na WCB kwa ujumla hata kuliko mashabiki wa Diamond.

Na ndio watu ambao wana full-updated details za Diamond hata kuliko mashabiki wa Diamond

Na ndio maana hata Diamond anapata viewers wengi sana Youtube hadi inaanza kusemekana amenunua kwa sababu anamashibiki hadi wale wa Ali "K"
Halafu hao hao ndio wanaanza kuhoji amepataje hizo viewer wakiwa wamesahau kuwa wao ndio walikuwa watu wa kwanza kabisa kuitazama video.

USHAHIDI NI COMMENTS ZA HII POST
IDADI TUMEZIDIANA KABISA..
Kwanii pale ana perform
Ndio nini sasa yani ununue tiketi kwenda kumuona anae kuuzia tiket ni umbumbu wa kiasi gani huo?!
 
Mwisho wa siku akizipata watarudi na kusema jamaa ni freemason, mara ana babu yake nk

Ukweli ni ukweli tu, jamaa ni real fighter wa maisha, anapigana sana


Diamond sasa hivi anatembelea nyota ya Ommy Dimpo
 
Hili wazo la kuwa na beach party ..... wamelipata muda mfupi.....ilitakiwa miezi miwili nyuma walitangaze ..... watu waishi nalo kichwani hakika wangestrike big ....any way all in all sio mbaya wapo vizuri
 
Ama kweli hali ni mbaya,pamoja na Diamond kujitokeza kuuza mwenyewe tiketi ndio watu hao wawili tu?
Nilitegemea kuona mafuriko!
Mhhhhhh!
Poleni in advance WCB!

Kuna mtu nilimuonyesha huku ugaibuni msanii Anauza tkt za show yake Kwenye mall alicheka Sana akasema kwani Hana management
 
Imebuma?mpaka chibu kawa chinga... Nilijua sold out in 24hrs

Sijasikia mechi anacheza Ronaldo na anaenda mall kuuza tkt [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]hii ni kwa bongo tu ndio inatokea
 
Kuna mtu nilimuonyesha huku ugaibuni msanii Anauza tkt za show yake Kwenye mall alicheka Sana akasema kwani Hana management
Halafu anasifiwa eti ni marketing strategy.
Bora useme wewe,nikisema mie naambiwa nina IQ ndogo,nina roho mbaya n.k
 
Back
Top Bottom