Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo
Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al ahly wamerudia tena
pratiloma53.rssing.com
Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al ahly wamerudia tena