PICHA 30: Muonekano wa Miji ya Uturuki na Syria baada ya kupigwa na Tetemeko la Richa 7.8

Ila Africa ususan Tanzania tumshukuru Sana Mungu matukio Kama haya kwetu ni Mara chache Sana kutokea.

Hali hii ya mchele aftatu na tunashindwa kumudu alafu vuta picha usiku haujakula Mara paap kibanda kinapitiwa na tetemeko kinaporomoka chote!! Mungu ni Kama ametupunguzia matatizo Africa.

Picha zinasikitisha Sana.
 
Imagine umeenda kuongeza matako uturuki af katikat ya procedure inapigwa tetemeko hospital inasambaratika halafu taifa linakua busy kuhudumia majeruhi wa tetemeko inabidi urudishwe bongo na matako nusu ya ulioenda nayo hapo ndio utajua umuhimu wa katiba mpya
 
Aghalabu = mara nyingi

Nadra = mara chache

Katika sentensi yako neno aghalabu limetumika sehemu isiyo sahihi
 
Mungu anatupenda sana
 
Kabisa mkuu
 
Aghalabu???
 
Mungu hakupi vyote na hakunyimi vyote, sisi tumenyimwa akili kitendo cha CCM kuendelea kututawala ni zaidi ya tetemeko na kimbunga
 
Aisee! Imegin mlikuwa mna kwich kwich alafu ngoma imetokea ghafla!?
 
Hapa ndipo ukomo wa Sayansi yetu hufikia, Sayansi bado haijaweza kutabiri ukubwa wa tetemeko siku chache kabla, kila siku tunawaambia wanadamu wabishi kwamba huu Ulimwengu tunaujua kwa 3% tu, 97% hatujui lolote.

Mungu tuepushe haya majanga, imagine itokee pale Posta mpya si tutazika mamillion ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…