PICHA 30: Muonekano wa Miji ya Uturuki na Syria baada ya kupigwa na Tetemeko la Richa 7.8


hakika
 
Ni kweli kabisa mkuu.
 
The very fundamental units that cannot be derived any further are TIME, WEIGHT, and DISTANCE.

Like in astronomy, in geology time is usually in terms of centuries for processes to complete and their effects to occur!

Hivyo, kwa Tanzania ni suala la muda tu whether this generation is alive or otherwise!

By the way inatajwa in a million years to come bara Afrika litagawanyika na kuzaa mabara mawili ambapo Tanzania itakuwa bara la upande wa mashariki.
 
Hivi katika halo watu walofariki sijasikia viongozi was nchi hiyo kufariki au wao walijificha wapi?
 
Ngoja ni mtag homeboy Kiranga
[emoji1]

Ova
 


Allahuma amiin thumma amiin.
الهم امين ثم امين
 
Kuna haja ya kujenga nyumba za karatasi ikiwezekana, karatasi ngumu.... science ya karatasi au plastixcks


Mwizi atakuacha salama, karatasi atachana, plastics atakuja na kisu na moto kutoboa tundu.
 
Wale chawa Wana bahati si walikuwa huko na mitaulo yao kufanyiwa surgery ya makalio?
 
Kabisa kabisa ,tungekua walala hoi zaidi naziaidi !
 
Hapo kuna kitu kinaitwa "stealing from the deed" lazima kitokee. Unakuta marehemu amekufa na kibunda wahuni lazima wakichomoe alafu wanakisunda sirini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…