Picha: 50 cent apungua uzito, amekonda sana

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Rapa Curtis Jackson almaarufu 50 cent, ameonekana kupungua uzito kwenye picha alizopost mtandaoni hivi karibuni.



Rapa 50 cent ni moja wa marapa wenye miili mikubwa ya mazoezi, kupungua kwake uzito kumeibua maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki kuhusu muonekano wake huo mpya.

ANGALIA PICHA HAPA








Written by Mjanja M1
 
Safi sana amependeza sasa aendelee kutupa uindo Power book
 
Amependeza tuu...
Kuna jirani yangu ndani ya miezi 2 nilikua sijamuona nimemuona nimeshtukaaaa amekonda amezeeka ghafla au ni ugonjwa nao siku hz wa kukonda ghafla
Sukari hiyoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…