Picha Adimu za TANU Kutoka Maktaba ya Marehemu Ally Sykes

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes.

Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini.

Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province), Sheikh Mohamed Ramia (Eastern Province) na Iddi Faiz Mafungo (Eastern Province) hapo ni Dodoma Train Station 1955/56.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…