Picha: Afanya upasuaji kuondoa mbavu 5 na utumbo ili kuwavutia wanaume

Picha: Afanya upasuaji kuondoa mbavu 5 na utumbo ili kuwavutia wanaume

Doh! Hapa akili yangu ndogo ime imagine hv
nipo kitandani na mwanamke hana utumbo na mbavu 5

Wanaume hebu tufanye tu imagination tuone inatokea nn apo[emoji23][emoji23]
 
Duuuhhhhh na kuna vidume vitajaa hapo... wonders shall never end ....
 
Hata huyu queen posh naye kafanya operation, sasa mwili utabaki salama na manyuzi nyuzi si unabaki na alama za mishono ama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu washaachana na manyuzi nyuzi miaka mingi Sana.

Wana vipini maalumu,
Wanabana Kama na stepla,

Nyama zikishajishika wanavibadua

Huoni hata alama
 
Hivi watu wa plastic surgery huwa wabaielewa Kwa undani anatomy???au wao wamebase Tu kwenye fake anatomy
 
Sasa Kwenye Show Akikunjwa Inakuwaje Wakati Hana Idadi Ya Kutosha Ya Mbavu

Doh! Hapa akili yangu ndogo ime imagine hv
nipo kitandani na mwanamke hana utumbo na mbavu 5

Wanaume hebu tufanye tu imagination tuone inatokea nn apo[emoji23][emoji23]
Ukimkamia uyu unamuua kabisa[emoji4]
 
Don't generalize stupidly like that. If your mom was empty headed like this you wouldn't have been where you are today kenge mkubwa
Kenge ni aliyekuzaa na kukunyonyesha fisi maji mkubwa we
 
Hivi mleta mada unazijua mbavu tano ambazo zimeindolewa na utumbo?!
 
Haya maamuzi yake Kuna siku atayajutia,akifika umri Fulani ataana kujua kuwa alifanya upumbavu
 
Wanaume hawa hawa wanaotamani Na mashoga [emoji2045]
 
Back
Top Bottom