Mkuu Dan Cooper uko correct...juzi kati Beyonce kalewa karopoka kila kitu mpaka Ms. Tina kumtuliza..Nope! Sijamkana Hov, just stated my opinion on his relationship/marriage. Kumekuwa na stories with supported evidence or rather thoeries, kuwa Bey ndio anaisongesha ndoa yao, ila Hov wala hamkubali kivile.
Naongezea..ni uongo kuhusu 50 walokula
NAS
EMINEM
KOBE BRYANT
MARQUESE HOUSTON..
Mkuu Dan Cooper uko correct...juzi kati Beyonce kalewa karopoka kila kitu mpaka Ms. Tina kumtuliza..
TMZ walimrekodi Bey...daah analalamika Shawn anampenda sana Rihanna kimapenzi sema riri nae hamtaki Jay...
Top of that Jigga ana michepuko mia kidogo, halafu hata halichagui! Mademu wa saloon twende, mastrippers twende, machangu twende...Jay kitombi asee
Sema Beyonce umalaya hauwezi, then ni anaona aibuu kinoma kuachwa manake full mashauzi kwa mademu wenzie akina kardashian, na Jordan Sparks ana mabifu nao hao hataree
In briefly Carter hamlove Queen Bey..sijui kwanini maskini!
Hee heeee....na ana watoto kibao huko nje ya ndoa!Haha duh!
Nadhani Hov kapitia break-ups nyingi kiasi kajenga ukuta kuzuia hisia zake; matterfact, ashawahi kukiri kuwa m'dingi wake alivyowakacha akiwa mdogo, ilimpa somo la kujizuia kumpenda mtu kiasi cha kuumia wakiondoka. Pia wanasemaga Hov anapenda aina ya mamanzi kama Rihanna, black hair and G'd-up, never divas.
Mkuu what is the difference of black hair G'd up na divas?Haha duh!
Nadhani Hov kapitia break-ups nyingi kiasi kajenga ukuta kuzuia hisia zake; matterfact, ashawahi kukiri kuwa m'dingi wake alivyowakacha akiwa mdogo, ilimpa somo la kujizuia kumpenda mtu kiasi cha kuumia wakiondoka. Pia wanasemaga Hov anapenda aina ya mamanzi kama Rihanna, black hair and G'd-up, never divas.
G'd up- G-angsta dressed from head to toes, reppin-Mkuu what is the difference of black hair G'd up na divas?
Divas means?...
Basi nipe nafasi nikufanyie hivyo, hutojutraaaMie nimependa tu hiyo pic ya kwanza hadi huyo boy white anaona wivu jinsi jamaa anavyotulizwa.wengine tuna miaka wake zetu hawajatufanyia hivi.