Picha: After 9 years of marriage Jay Z and Beyonce are still crazy in love

Ila ukijitambua tuu katika vita ya ndoa lazima ushinde maana kuna maudhi mengi na kila kitu hivyo kila mtu akishika nafasi yake na kukubali changamoto mnafika mbali
 
Watu bana kisa nyie mapenzi yamewashinda mnadhani kila mtu ni hivo.....
Mapenzi yapo asee mie mwenyewe ninayo years with him ila namuona kama nimekuta na nae wiki hii
 
Nope! Sijamkana Hov, just stated my opinion on his relationship/marriage. Kumekuwa na stories with supported evidence or rather thoeries, kuwa Bey ndio anaisongesha ndoa yao, ila Hov wala hamkubali kivile.
Mkuu Dan Cooper uko correct...juzi kati Beyonce kalewa karopoka kila kitu mpaka Ms. Tina kumtuliza..

TMZ walimrekodi Bey...daah analalamika Shawn anampenda sana Rihanna kimapenzi sema riri nae hamtaki Jay...

Top of that Jigga ana michepuko mia kidogo, halafu hata halichagui! Mademu wa saloon twende, mastrippers twende, machangu twende...Jay kitombi asee

Sema Beyonce umalaya hauwezi, then ni anaona aibuu kinoma kuachwa manake full mashauzi kwa mademu wenzie akina kardashian, na Jordan Sparks ana mabifu nao hao hataree

In briefly Carter hamlove Queen Bey..sijui kwanini maskini!
 
Haha duh!

Nadhani Hov kapitia break-ups nyingi kiasi kajenga ukuta kuzuia hisia zake; matterfact, ashawahi kukiri kuwa m'dingi wake alivyowakacha akiwa mdogo, ilimpa somo la kujizuia kumpenda mtu kiasi cha kuumia wakiondoka. Pia wanasemaga Hov anapenda aina ya mamanzi kama Rihanna, black hair and G'd-up, never divas.
 
Hee heeee....na ana watoto kibao huko nje ya ndoa!

Akiwa na Bey anawakana ila wakikutana faragha na mama zao anawakubali na kuwasaidia sasa sijui anaogopa Bey ataona anamisuse Mali za familia ovyoo...

Kujifanya Blue Ivy ndo 1st born...mxiuuuu

Hivi mkuu ni kweli hawa wakina jigga na bee wanaabudu ushetani??? kama siwaelewi elewi hivi!!
 
Haha duh!

Nadhani Hov kapitia break-ups nyingi kiasi kajenga ukuta kuzuia hisia zake; matterfact, ashawahi kukiri kuwa m'dingi wake alivyowakacha akiwa mdogo, ilimpa somo la kujizuia kumpenda mtu kiasi cha kuumia wakiondoka. Pia wanasemaga Hov anapenda aina ya mamanzi kama Rihanna, black hair and G'd-up, never divas.
Mkuu what is the difference of black hair G'd up na divas?

Divas means?...
 
G'd up- G-angsta dressed from head to toes, reppin-
that outfit is g'd up.

Divas one who behaves as a goddess or queen.

That's Riri and Qeen B'
 
Basi
Mie nimependa tu hiyo pic ya kwanza hadi huyo boy white anaona wivu jinsi jamaa anavyotulizwa.wengine tuna miaka wake zetu hawajatufanyia hivi.
Basi nipe nafasi nikufanyie hivyo, hutojutraaa
 
Back
Top Bottom