Picha: After 9 years of marriage Jay Z and Beyonce are still crazy in love

Everything needs a strong criticism to be strong,no bla bla kila saa. Hujui yanayoendelea ndan mpaka uwepo humo so nilichokiandika saiv na saa ile vyote vina maana. SHOWOFF bora kimkardashian na kanye wapo real kiaina.(nimeharibu tena uwiii usinichambe)
Man (if not mistaken you are a male). I said it before Jay and Bey may not be perfect couple but they have shown to the world they are happy together. Forget about little misunderstandings btn them (which is normal in any health relationships) Bey and Jay are just awesome. Nine years in marriage and still crazy in love. What proof you want to make you believe they are happy togather?

Kuhusu Kanye and Kim that is another story. Tell me how long they been together as married couple?
 
Numbisa nimeangalia profile yako wewe ni dada kumbe. One perfect heart of love dada Numbisa.
 
Boy mzuri wewe bado toto siyo? Kila uhusiano unapitia challenges lakini kukabili hizo challenges ndiyo ukomavu huo.

Jay na Beyonce wamekuwa on the sportlight kwa muda mrefu. Wamefanikiwa kuvuka changamoto nyingi pamoja. Unajua kabla ya marriage walikuwa pamoja for almost 11 years?
Ila kwel n uvumilvu 11yrs mtu hata hategemei kuengage daaa big up to them
 
Watu maarufu wana kawaida ya kuigiza sana wanapokuwa mbele za watu, so usiziamini sana picha wanazopigwa wakijua. Nadhani muziki wao unazungumza mengi kwa ufasaha kuliko picha, na lemonade plus verse ya Hov kwenye remix ya talk that talk zinaelezea maisha ambayo si ya furaha.
 
Mkuu leo unamkana Jay Z....teh teh. Anyways, lakini pamoja na hayo Jay na Bey wamejiheshimu sana kwenye relation yao. Hawana mpinzani. Millions of young men and women wanawaangalia kama mfano.
 
Nope! Sijamkana Hov, just stated my opinion on his relationship/marriage. Kumekuwa na stories with supported evidence or rather thoeries, kuwa Bey ndio anaisongesha ndoa yao, ila Hov wala hamkubali kivile.
 
Nadhani hiyo story haina ukweli. Sasa hivi Hov anategemea kupata twins toka kwa Bey....do you think Hov angeweza kukubali aongeze family wakati hamkubali mama la mama? I think Hov and Bey are happy together. What you think?
 
Actually hizo stories zina supportive arguments, ikiwemo situation nzima ya Solange kumshambulia Hov, na reaction ya Bey wakati hiyo drama inatokea. Nyimbo zao mara kadhaa zimekuwa zikionyesha nyufa za maana kwenye ndoa yao. Sio kwamba Hov hamkubali Bey, it's that he's not that into her as she is into him; in a way he doesn't give a deal if she stays or not. But I could be wrong too.
 
Yes bredren, Solange alimkosea sana heshima Hov. But Hov alimaliza mzozo as true gentleman sidhani kama alichukulia ile mambo personal. I have seen Hov is at peace with Solange. Bila shaka Solange apologized to Hov what she did. And yes naweza kukubaliana na wewe Jay anaweza asiwe sana into Bey lakini kwaajili ya family (sasa familia imekuwa kubwa) Hov atabaki kuwa Baba bora wa family. Nadhani Hov na Bey wana future nzuri pamoja kuliko wakitengana.
 
They musta squashed it I believe so too, can't comment on who apologized or not tho. Kuwa wazazi bora, haitawazuia wao kuachana, wala kinyume. Nadhani Hov akipata chalii atakuwa happy zaidi.

Listen to his love for his nephews on the 3rd verse, now imagine for his own little man...
 
Beyonce na NAS, EM, Fifty?!..

But she settled with the top N in the game. Shmat.
 
Ila Bey siku hizi tako hakuna kabisa.. Mwanamke matako bana, alafu awe mweupe hapo sitoki
 
Back
Top Bottom