Picha: AINA ZA VITAMBI

Picha: AINA ZA VITAMBI

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801

1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O.
Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.

2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama
herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za
ofa.

3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani.
Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi
kinaisha.

4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho
ukivaa nguo pana
hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.

5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila
kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.

6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina
umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.

10268674_645210038886841_3519484227255373407_n.jpg
1903009_645210445553467_3347437637233883176_n.jpg

37022_645208945553617_7573818059290422292_n.jpg
10254035_645209255553586_3986335042901356233_n.jpg
 
Picha ya pili kama Lete Mutuz, au macho yangu?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Duh!ni shida.umesahau kitambi mbinuko.hlf watu wa aina hii huwa wanakula kufuru.
 
Hii kiboko! Yaani kumbe jamaa ameshaanza maandalizi baada ya kuona UKAWA hawarudi nyuma. Hongera kapiteni K kwa zoezi
ImageUploadedByJamiiForums1398787647.700703.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
kitambi kwa wanaume wala hakiwatesi wao

kina tutesa sisi

unataka kujua kwa nini???
 
Kitaalamu,kitambi ni dalili ya afya mbaya na uchafu.Ila wabongo tunaona kitambi ni hadhi(status)
 
Very interesting. Itakaa poa zaidi ukiweka source ya info.yako
 
tayta hapa anahusika lete picha
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda picha ya mwisho pia kitachofata ni
 
Attachments

  • 1398790612900.jpg
    1398790612900.jpg
    21.3 KB · Views: 449
Back
Top Bottom