Picha: AINA ZA VITAMBI

Picha: AINA ZA VITAMBI

Jf ni noma. Yani mimi mtu akinikera naamia jf kupata furaha . Jf daima.
 
kitambi kwa wanaume wala hakiwatesi wao

kina tutesa sisi

unataka kujua kwa nini???

Na nyie pia vitambi vyenu akina dada siku hizi, hebu fikiria kitambi (ke) na kitambi (me) vikikutana sijui staili gani itakuwa mwafaka...
 





1903009_645210445553467_3347437637233883176_n.jpg



Jamaa chokest!!!!!
 


1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O.
Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.

2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama
herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za
ofa.

3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani.
Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi
kinaisha.

4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho
ukivaa nguo pana
hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.

5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila
kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.

6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina
umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.








10268674_645210038886841_3519484227255373407_n.jpg
1903009_645210445553467_3347437637233883176_n.jpg




37022_645208945553617_7573818059290422292_n.jpg
10254035_645209255553586_3986335042901356233_n.jpg
[emoji2960][emoji2960]
IMG_20210928_103747.jpg
 
Back
Top Bottom