PostGE2025 Picha: Alipigwa risasi akapona, akatafutwa na kumalizwa kinyama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Alipigwa risasi ya mbavu tarehe 29 ikampalaza akapona akapelekwa hospital ya bochi akatoka wakamfuata kwao kibanda Cha mkaaa . Kwa vile uvccm walikuwa wanapajua anapoishi usiku wa siku ya kwanza walipomkosa, kesho yake jioni akaitwa bondeni na jamaa yake alivyotokezea tu akapigwa risasi.watu walishuhudia Tukio like, ambapo wauaji walibeba mwili wake na kuuweka kwenye gari nyeupe ambayo ilikuwa haina plate namba.mpaka leo mwili wake haujapatikana"!!.πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…