Picha aliyochora Michelangelo mwaka 1530 wakati akiwa mafichoni baada ya kutofatiana na Pope

Picha aliyochora Michelangelo mwaka 1530 wakati akiwa mafichoni baada ya kutofatiana na Pope

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1635935999329.png
 
Madam sema kidogo kuhusu hiyo picha.
Familia ya Medici ilikua na nguvu sana Florence miaka ya 1500. Utajiri wao ulianzia kwenye Medici Bank iliyosambaa Ulaya. Kutokana na nguvu ya pesa walikua pia na nguvu katika siasa.

Hii familia ulimetoa Pope wanne na Malkia wawili. Mmoja katika Pope hao alitofautiana na Michelangelo. Michelangelo alijiunga na wapinzani wa Familia ya Medici na walifanikiwa kuuangusha utawala wa Medici Florence.

Katika ugomvi huo Michelangelo alijificha kwenye chumba cha siri kanisani na alikua alitumia muda wake kuchora picha ukutani.
 
Kuumbe tofauti hizi zimeanzia mbali mnoooo! La medici, ndo waliiba Mazindiko ya Misri ya kale!! kutoka Libraries za kifalme za Pharaoh's!
 
Halafu huyo jamaa alikuwa anachora mapicha ya namna gani yasiyoeleweka namna hii? Yeye na mwenzake Da Vinci ni mashuhuri sana duniani ila sanaa yao naona ni makatuni fulani yanayozidiwa na Kingo wa James Gayo kwa mbali mno.
 
Back
Top Bottom