Familia ya Medici ilikua na nguvu sana Florence miaka ya 1500. Utajiri wao ulianzia kwenye Medici Bank iliyosambaa Ulaya. Kutokana na nguvu ya pesa walikua pia na nguvu katika siasa.
Hii familia ulimetoa Pope wanne na Malkia wawili. Mmoja katika Pope hao alitofautiana na Michelangelo. Michelangelo alijiunga na wapinzani wa Familia ya Medici na walifanikiwa kuuangusha utawala wa Medici Florence.
Katika ugomvi huo Michelangelo alijificha kwenye chumba cha siri kanisani na alikua alitumia muda wake kuchora picha ukutani.
Halafu huyo jamaa alikuwa anachora mapicha ya namna gani yasiyoeleweka namna hii? Yeye na mwenzake Da Vinci ni mashuhuri sana duniani ila sanaa yao naona ni makatuni fulani yanayozidiwa na Kingo wa James Gayo kwa mbali mno.