adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Aliiteka chitchat , zile nyuzi zake za Interview nilikuwa nacheka sana nikipitia comments enzi hizo nikiwa guest.Ila Dj Sepetu alijuaga sana kuichangamsha jf miaka ya 2016 na 20017.
Sidhani kama itajirudia tena ile jf mana kulikuwa na nyuzi za Interview ambazo zilikuwa hazitupiti š¤£š¤£
Cc. ukhuty.
Kuna wadau humu walikuwa wana mpa kashfa na vijembe kuwa anatega mitego ya kula watu kimasihara coz yeye nyuzi zake anadili na wanawake tu.