adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Jan 30, 2022 #121 Shadeeya said: Ila Dj Sepetu alijuaga sana kuichangamsha jf miaka ya 2016 na 20017. Sidhani kama itajirudia tena ile jf mana kulikuwa na nyuzi za Interview ambazo zilikuwa hazitupiti 🤣🤣 Cc. ukhuty. Click to expand... Aliiteka chitchat , zile nyuzi zake za Interview nilikuwa nacheka sana nikipitia comments enzi hizo nikiwa guest. Kuna wadau humu walikuwa wana mpa kashfa na vijembe kuwa anatega mitego ya kula watu kimasihara coz yeye nyuzi zake anadili na wanawake tu.
Shadeeya said: Ila Dj Sepetu alijuaga sana kuichangamsha jf miaka ya 2016 na 20017. Sidhani kama itajirudia tena ile jf mana kulikuwa na nyuzi za Interview ambazo zilikuwa hazitupiti 🤣🤣 Cc. ukhuty. Click to expand... Aliiteka chitchat , zile nyuzi zake za Interview nilikuwa nacheka sana nikipitia comments enzi hizo nikiwa guest. Kuna wadau humu walikuwa wana mpa kashfa na vijembe kuwa anatega mitego ya kula watu kimasihara coz yeye nyuzi zake anadili na wanawake tu.