Picha: Amber Lulu akipelekwa kituo cha Polisi cha Urafiki kisa picha chafu

Picha: Amber Lulu akipelekwa kituo cha Polisi cha Urafiki kisa picha chafu

Najiuliza sana huyu binti hana baba?

Maana mmmh

invest what you are willing to lose
 
Ushamba ushamba ushamba nchi ya kishamba pamoja na watu wake washamba. Watamfunga kwa sheria ipi? Hii nchi imeshakuwa ya kipuuzi sana
 
screenshot-from-2017-08-29-15-07-06-png.577369
Huo uchi uko wapi? au mi mgeni
 
Huko ni kupoteza muda huyo binti ana video za ngono huko xxx site sasa hako kapicha mbona kakawaida kwake wafanye tu kumwacha.

-Ndumilakuwili-
 
Kazi ipo kwa kweli. Wasanii sio viyoo vya jamii tena wamekuwa waharibu jamii.
 
Sasa hapo umber lulu ni yupi maana naona mmoja ana maziwa mwingine ana mito
 
Wekeni hizo picha zinazosemekana za uchi nasi tupime..
 
acheni polisi watafute wezi na majambazi. huu upuuzi wa instagram sio jambo la kupelekana polisi. Instagram wenyewe tayari wana policy zao ambazo ukishindwa kuzi follow account yako inafungwa sasa polisi wa nini tena? habari kama hizi zinatufanya tuonekane sisi ni nchi ya washamba tusiojua kutumia social media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom