Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni siku ya Jumapili
Mbususu yake naitaka ila masharti magumu sana, isitoshe mimi ni mwanaume wa mkoani, sio wa Dar
Mbususu yake naitaka ila masharti magumu sana, isitoshe mimi ni mwanaume wa mkoani, sio wa Dar