Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni siku ya Jumapili

Mbususu yake naitaka ila masharti magumu sana, isitoshe mimi ni mwanaume wa mkoani, sio wa Dar
 
Aahaha utaambiwa ushone na kitenge siku ya kutoa posa
 
Geje hazina adabuu...na hazijawahi mwanacha mwanaume salama...😅
 
Soon utabanduliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…